Ndugu wadau wa soka timu yenu ya soka ya BONDE FOOTBALL CLUB Iinapenda kuwatangazia kuwa inahitaji msaada wa vifaa vya michezo kwa ajiri ya vijana wao wa umri wa miaka 7-14 na15-17 kwani vijana hao kwa sasa wanaupungufu mkubwa wa vifaa vya michezo basi ukiwa kama mwanamichezo tunaomba msaada wako kwa ajiri ya kuwawezesha watoto zetu wadogo zetu waweze nao pia kuonesha vipaji vyo
ukitusaidia vifaa itakuwa vizuri zaidi kuliko pesa taslim.
kwa mawasiliano zaidi
simu 0714 33 33 16 katibu kamati RASHID B
0713 65 80 49 kocha vijana ISSA J
0712 87 75 57 msemaji wa timu SHABANI M
Email ni bondefc1@hotmail.com
PICHANI NI TIMU YA BONDE FC UNDER 21
1 comment:
Karibuni katika ulimwengu wa blog, hongereni sana
Post a Comment