Jul 29, 2011

Timu ya Bonde Accademic Inaendelea na Mazoezi Slideshow

Timu ya Bonde Accademic Inaendelea na Mazoezi Slideshow: "TripAdvisor™ TripWow ★ Timu ya Bonde Accademic Inaendelea na Mazoezi Slideshow ★ to Dar es Salaam. Stunning free travel slideshows on TripAdvisor"

Jul 25, 2011

BONDE FOOTBALL CLUB

Ndugu wadau wa soka timu yenu ya soka ya BONDE FOOTBALL CLUB Iinapenda kuwatangazia kuwa inahitaji msaada wa vifaa vya michezo kwa ajiri ya vijana wao wa umri wa miaka 7-14 na15-17 kwani vijana hao kwa sasa wanaupungufu mkubwa wa vifaa vya michezo  basi ukiwa kama mwanamichezo tunaomba msaada wako kwa ajiri ya kuwawezesha watoto zetu wadogo zetu waweze nao pia kuonesha vipaji vyo
 ukitusaidia vifaa itakuwa vizuri zaidi kuliko pesa taslim.
kwa mawasiliano zaidi

simu       0714  33    33     16      katibu kamati   RASHID B
              0713  65   80   49        kocha vijana   ISSA  J
              0712   87   75   57        msemaji wa timu  SHABANI  M
Email ni  bondefc1@hotmail.com

PICHANI NI TIMU YA BONDE FC UNDER 21

Jul 14, 2011

TIMU YA BONDE ACCADEMIC INAENDELEA NA MAZOEZI

timu ya bonde fc inaendelea kujifua na mazoezi makari ili kujiwinda na michano mbalimbali inayokuja

Jul 4, 2011

Vijana wa Bonde Fc wakipasha kabla ya kuanza kwa mechi yao ya fainali katika uwanja wa Mwananyamala b





hapa vijana wakimalizia kutia saini kabla ya gemu kuanza kwa mechi ya fainali kati ya bonde fc na african people katika michuano ya ligi ya kidiyoso

libeneke jipya la bonde football.club

Timu yenu ya bonde fc ya mwananyamala inawakaribisha wadau wote wa soka duniani kujumuika pamoja 
hapa vijana walikuwa wakijiaanda kupambana na african people katika ligi ya kidiyoso inayoandaliwa na chama cha soka kinondoni