Jul 25, 2011

BONDE FOOTBALL CLUB

Ndugu wadau wa soka timu yenu ya soka ya BONDE FOOTBALL CLUB Iinapenda kuwatangazia kuwa inahitaji msaada wa vifaa vya michezo kwa ajiri ya vijana wao wa umri wa miaka 7-14 na15-17 kwani vijana hao kwa sasa wanaupungufu mkubwa wa vifaa vya michezo  basi ukiwa kama mwanamichezo tunaomba msaada wako kwa ajiri ya kuwawezesha watoto zetu wadogo zetu waweze nao pia kuonesha vipaji vyo
 ukitusaidia vifaa itakuwa vizuri zaidi kuliko pesa taslim.
kwa mawasiliano zaidi

simu       0714  33    33     16      katibu kamati   RASHID B
              0713  65   80   49        kocha vijana   ISSA  J
              0712   87   75   57        msemaji wa timu  SHABANI  M
Email ni  bondefc1@hotmail.com

PICHANI NI TIMU YA BONDE FC UNDER 21

1 comment:

Shein Rangers Sports Club said...

Karibuni katika ulimwengu wa blog, hongereni sana