Aug 27, 2011

siku under 14 ipochukua ubingwa

hapa vijana wakiwa na viongozi wao pamoja na kombe na jezi walivyopewa kama zawadi baada ya kutwaa ubingwa wa scout cup kinondoni

Aug 17, 2011



MECHI IKIENDELEA KIPINDI CHA KWANZA




HAPA VIJANA WALIKUWA WAKIONESHANA UFUNDI KABLA YA MAPUMZIKO BONDE FC ILIKUWA NYUMA KWA GOLI MOJA (1)

vijana kazini wakijianda na mechi







vijana wakipasha misuri kabla ya kuanza mechi yao dhidi ya makongo fc juu mwalimu akiwapa maelezo mawili matatu kabla ya mtanange kuanza.

BONDE FOOTBALL CLUB ILIPOITEMBELEA MAKONGO FC




Viongozi wachezaji na mashabiki wa bonde fc siku walipokwenda kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya makongo mechi ilichezwa jumamosi 14/08/2011 matokeo bonde fc 2-1 makongo fc

Aug 15, 2011

Bonde fc yaendeleza kipigo


Juu ni kikosi cha bonde fc kilichotoa kipigo kwa makongo fc chini ni makongo fc

Bonde fc yaendeleza kipigo

vijana wakipasha kabla ya kuanza kwa mechi hapo jumapili tarehee 14 /08/2011 dhidi ya makongo matokeo yalikuwa bonde fc 2-1makongo fc uwanja wa makongo mechi ilichezwa

Aug 1, 2011

SIKU KATIBU WA DAYOSA / KIDIYOSA ALIPOITEMBELEA BONDE FOOTBAL CLUB

HAPA AKIJADILI JAMBO NA KOCHA MKUU WA BONDE FC NDUGU ISSA

SIKU KATIBU WA DAYOSA ALIPOITEMBELEA BONDE FOOTBAL CLUB

katibu wakidyosa akipasha  kidogo na vijana wa bonde fc

vijana kazini

vijana wakiendelea na kazi

vijana kazini

vijana wa under 20 wakiwa katika mazoezi

bonde kweli imepania

kocha mkuu wa timu ya bonde fc ndugu ISSAakiwa katika mazoezi ya timu yake

bonde footbal club yatembelewa na katibu wa kidyosa /dayosa

                                                                                                
siku katibu wa dayosa ilipoitembelea bonde fc katibu mwenye fulana ya mistari akiwa na kocha wa bonde fc

Bonde foot ball club inaendelea na mazoezi

        
 vijana wakiwa wamepumzika baada ya mazoezi magumu

Bonde foot ball club inaendelea na mazoezi

    
 Vijana wakimsikiliza kocha hayupo pichani

Bonde foot ball club inaendelea na mazoezi

MAZOEZI YAKIENDELEA KWA KASI

Bonde foot ball club inaendelea na mazoezi

  
 MAKPA NAO HAWAKUWA NYUMA  HAPA KIPA WA UNDER 14 AKISKILIZA VIZURI MAELEKEZO YA MWALIMU

Bonde foot ball club inaendelea na mazoezi


 vijana wakimsikiliza kocha  hii ni under 14