hapa vijana wakiwa na viongozi wao pamoja na kombe na jezi walivyopewa kama zawadi baada ya kutwaa ubingwa wa scout cup kinondoni
MICHEZO NI UMOJA NA MSHIKAMANO WEKEZA KATIKA MICHEZO ILI KUOKOA VIPAJI VYA VUJANA VISIISHIE KWENYE KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA UJAMBAZI NA UKABAJI
Aug 27, 2011
Aug 17, 2011
MECHI IKIENDELEA KIPINDI CHA KWANZA
HAPA VIJANA WALIKUWA WAKIONESHANA UFUNDI KABLA YA MAPUMZIKO BONDE FC ILIKUWA NYUMA KWA GOLI MOJA (1)
vijana kazini wakijianda na mechi
vijana wakipasha misuri kabla ya kuanza mechi yao dhidi ya makongo fc juu mwalimu akiwapa maelezo mawili matatu kabla ya mtanange kuanza.
BONDE FOOTBALL CLUB ILIPOITEMBELEA MAKONGO FC
Viongozi wachezaji na mashabiki wa bonde fc siku walipokwenda kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya makongo mechi ilichezwa jumamosi 14/08/2011 matokeo bonde fc 2-1 makongo fc
Aug 15, 2011
Bonde fc yaendeleza kipigo
vijana wakipasha kabla ya kuanza kwa mechi hapo jumapili tarehee 14 /08/2011 dhidi ya makongo matokeo yalikuwa bonde fc 2-1makongo fc uwanja wa makongo mechi ilichezwa
Aug 8, 2011
Aug 7, 2011
KATIBU WA DAYOSA AKIFANYA MAZOEZI NA VIJANA WA BONDE FC
VIJANA
WAKIMFUATILIA KWA UMAKINI KATIBU WA DAYOSA
WAKIMFUATILIA KWA UMAKINI KATIBU WA DAYOSA
MAKOCHA WA BONDE FC
MAKOCHA WAKIJADILI JAMBO WAKATI VIJANA WAKIENDELEA NA MECHI AMBAYO ILIISHA KWA BONDE FC KUSHINDA GOLI 1 KWA 0
Aug 1, 2011
bonde footbal club yatembelewa na katibu wa kidyosa /dayosa
siku katibu wa dayosa ilipoitembelea bonde fc katibu mwenye fulana ya mistari akiwa na kocha wa bonde fc
Bonde foot ball club inaendelea na mazoezi
MAKPA NAO HAWAKUWA NYUMA HAPA KIPA WA UNDER 14 AKISKILIZA VIZURI MAELEKEZO YA MWALIMU
Subscribe to:
Posts (Atom)