Aug 1, 2011

bonde footbal club yatembelewa na katibu wa kidyosa /dayosa

                                                                                                
siku katibu wa dayosa ilipoitembelea bonde fc katibu mwenye fulana ya mistari akiwa na kocha wa bonde fc

1 comment:

Shein Rangers Sports Club said...

Kazi nzuri Bonde FC, kuhusu ubingwa angalia vizuri blog yetu na page yetu maalum ya facebook na kama haitoshi kaulize KIDIYOSA na DAYOSA.

Na kama kutakuwa na matatizo ya kutoelewa jinsi kufatilia katika blog tuone tutakusaidia kuliko kuandika kuwa sisi ni waongo.

Nawatakia mazoezi mema na karibuni sana.