Sep 2, 2011

Timu ya Bonde fc inawatangazia kuwa kesho itacheza mechi ya nusu fainali katika uwanja wa Mwenge shouting

Kaptein wa Bonde fc Swalehe( Canavaro) amewahaidi mashabiki wa Bonde fc kuwa kesho lazima aingoze timu yake kutinga hatua ya  fainali katika mechi ya nusu fainali itakayochezwa hapo katika viwanja vya Mwenge shoutting watu wote mnakaribishwa

No comments: