Siku Mwinyimaji Tambaza alipoitembelea Bonde fc mazoezini hakuna alietegemea kama iko siku atatugeuka
Timu
ya Bonde Fc inawatangazia mashabiki wake kuwa imeamua kujitoa katika
michuano ya DAYOSA kutokana na ukiritimba na ufisadi unaofanywa na
katibu wa chama hicho ndugu Mwinyimaji Tambaza kwa kitendo chake cha
kuzifungia timu za Shein Rangers na Bonde fc zisishiriki michuano ya
aina yoyote inayoandaliwa na chama hicho na hata kutotakiwa kucheza
mechi za kirafiki na timu yeyote unayoshiriki michuano inayoandaliwa na
chama hicho sasa tunajiuliza hivi huyu jamaa kazi yake kuendeleza soka
au kuua vipaji vya vijana.kwani alikwisha wahi kumshawishi ndugu
Ibrahimu Tewa kuifuta Shein katika michuano ya TEWA CUP baada ya shein
kugoma kushiriki michuano ya DAYOSA inayoendelea kutokana na ukilitimba
wa kiongozi huyu
No comments:
Post a Comment